Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuumiwa mbalimbali ambao ni raia wa China kwa tuhuma za kujishughulisha na biashara ya kuchezesha kamali bila kuwa na vibali maalum na kuisababishia Serikali hasara kwa kukosa mapato, Sambamba na hilo ofisi ya Kanda wa Polisi Gilles Muroto pamoja na mkuu wa mkoa wamewazawadia Askari Polisi watano jumla ya shilingi 1,750,000/- kama motisha baada ya kukataa rushwa ya shilingi million moja kutoka kwa wachina hao.
WALIOCHOMA MOTO KITUO CHA POLISI, WAKISUBIRIA HUKUMU