Watuhumiwa wanne wa tukio la ujambazi wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha kinyasi wilayani Kondoa mkoani Dodoma mara baada ya kuvamia kituo cha mafuta katika kijiji hicho na kupora zaidi ya shilingi milioni kumi huku wananchi wakifanikiwa kuwavamia na kuwashambulia ambapo miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya wilaya ya kondoa.
MAKAMU WA RAIS AMSIMAMISHA KAPUYA MBELE YA UMATI ISHU YA KUOA JUZI