Mwanasheria wa kujitegemea Leornad Manyama amechambua sheria kuhusu mtu anayemdhihaki marehemu ambapo ameeleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyombo vya habari mtu anayetenda kosa hilo anaweza kuhukumiwa miaka 5 jela ama faini ama adhabu ikawa sambamba.
KAMANDA “TUNAMSHIKILI DUDU BAYA ANAKERA WATU, ANAGUSA HISIA ZA WATU”