Leo March 6, 2019 Mahakama Kuu Tanzania inatarajia kesho March 7, 2019 kutoa hukumu kuhusu dhamana ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko.
Mbowe na Matiko walikata rufaa mahakamani hapo baada ya kufutiwa dhamana zao November 23, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Magereza wamfikisha Mbowe na Matiko Mahakamani kusikiliza rufaa yao