Tunayo stori kutokea BAKWATA ambapo imewataka viongozi wa Kiislamu na waumini wa dini hiyo kujumuika kwa pamoja siku ya Ijumaa kwa ajili ya kuomba dua ya mvua yenye baraka na isiyo na mahafa kutokana na hali ya ukosefu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini.