Aliyekuwa Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Ngorongoro Isa Ng’itu amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Arusha na kusomewa mashtaka 15 ikiwemo la uhujumu uchumi nakujipatia fedha zaidi ya Million 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa OBC kinyume na utaratibu.
BREAKING: MAHAKAMA YAKUBALIANA NA UAMUZI WA SPIKA NDUGAI KUMVUA NASSARI UBUNGE