Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma Sosthenes Kibwengo amesema kuwa katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2019 taasisi iliyoongoza kwa vitendo vya rushwa katika mkoa wake ni pamoja na Serikali za mitaa ambazo zimeongoza kwa asilimia 25 , Ardhi 17, elimu 16, afya 8, maji, ujenzi na Mahakama asilimia 7 ikifuatiwa na Jeshi la Polisi ambalo zimeongoza kwa asilimia 6.
Agizo la Waziri Mpango kwa wafanyabiashara wa fedha za kigeni