Kamishina wa Operation na Mafunzo – Tanzania CP. Liberatus Sabas ameanza ziara yake Mkoani Kigoma huku lengo ni kuhakikisha Nchi inakua salama kwa kusimamia na kuhimiza operation katika maeneo mabalimbali hapa Tanzania ambapo ameonya baadhi ya watu kujihusisha na uhalifu na kusema yeyote atakaefanya uhalifu atashughulikiwa.