April 2, 2019 Mwenyekiti wa kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge Emanuel Mwakasaka amewasilisha Bungeni azimio la Bunge la kutoshirikiana na kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad kutokana na kitendo cha kulidhalilisha Bunge kwa kuliita Bunge “Dhaifu”. Hoja hiyo imeungwa mkono na Wabunge kwa kupata kura za NDIO.
MALKIA WA NGUVU ALIYETUPA UREMBO CHINI NA KUSHIKA SPANA, OIL NA INJINI MBEYA