Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo wakiongozwa na Zitto Kabwe wamesema watamuandikia barua Waziri Mkuu, IGP Sirro na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kutokana na kuzuiwa kufanya vikao vya ndani vya Chama chao ikiwa ni haki yao Kikatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hali hiyo imekuja baada ya Chama hicho kuzuiwa kufanya shughuli ya ufunguzi wa Ofisi za Chama hicho Mkoani Tanga ambapo awali walipewa ruhusa na Jeshi la polisi lakini baadae wakazuiwa kwa kilichosemekana kuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani.
KAFUNGUKA UKWELI: “HAWAKUJUA MIMI NI MGANGA” BIBI ALIYEZUIA GARI NA PIKIPIKI ZISIONDOKE STENDI