Leo April 4, 2019 Watendaji wa Kata 11 wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kula hela za vitambulisho vya wajasiriamali wadogo vilivyotolewa na Rais Magufuli nchi nzima.
Watumishi hao wamekula Milioni 19 ambazo walitakiwa wazikabidhii kwa Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji ambapo wao hawakurudisha fedha hizo.
Hayo yamesema na Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya James Kasusura akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.
RAIS MAGUFULI “UKIWA NA HASIRA MPELEKEE MKEO, WATAKULA PUSH-UP, WATALAMBA MCHANGA”