Leo April 17, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametangaza vita kwa wale wanaotengeneza vitambulisho feki kama vilivyotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya Wamachinga na kuviuza kwa Wananchi.
RC Mwanri amesema atahakikisha anashika wote watakaohusika na kuwapeleka mahabusu mpaka pale atakapopatikana anaetengeneza.
TAHADHARI: RC MWANRI “LIWALO NA LIWE, MTANICHINJA, MTAONA NYOTA NYOTA MCHANA”