Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta Nditiye pamoja na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola wametoa ufafanuzi kuhusu namna ambavyo wananchi wasiokuwa na vitambulisho vya uraia wataweza kutekeleza agizo la kusajili line zao za simu kwa alama za vidole kuanzia Mei 1, 2109.
SERIKALI YAJIBU SUALA LA ZITTO KABWE “IMEKUWA NONGWA”