Haya ni maji yanayopatikana katika Mkoa wa Manyara ambapo kwa kipindi cha nyuma yalikuwa yakitoka na shanga na kwa mujibu wa Mwenyekiti Mstaafu wa Kitongoji cha Maji ya Moto Samweli Hanje amesema kuna mtu aliweka mguu kwenye maji na haukutoka hadi pale walipokuja kuchinja mbuzi. Full story bonyeza PLAY hapa chini.
WATU KUMI MAARUFU DUNIANI WALIVYOUAWA KWA KUPIGWA RISASI