Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga akishirikiana na Mkuu wa Wilaya wa Kigoma, Wakurugenzi wa Halmashauri pamoja na Madiwani na Watendaji wa Kata wameamua kupita sokoni mguu kwa mguu kuhimiza wananchi wachukue vitambulisho vya wajasiriamali.
LIVE: “UNATAKA UFE? KUFA, SI UMETAKA MWENYEWE” RAIS MAGUFULI AJIBU