Kutoka Kanisa la Ufufuo na Uzima Bishop Gwajima amezungumza na Waandishi wa habari hapa namnukuu “Isipokuwa umewathibitishia watu kwamba Mimi ni Mwanaume kamili, kwamba kufanya tendo la ndoa naweza kufanya sawa sawa, kila Mwanaume anafanya tendo la ndoa, tofauti hufanyia chumbani”. Full story ipo kwenye video hapa chini.
MKE WA ASKOFU GWAJIMA ‘MIMI NI JASIRI KAMA SIMBA, MUME WANGU NAMFAHAMU’