Mapinduzi ya Kiteknolojia yanazidi kukuwa kwa kasi Duniani, ambapo mambo mengi yanafanyika unaweza kuhisi kama ni miujiza mathalani jamaa anayetengeza udongo kwa kutumia Minyoo na mabaki ya chakula.
Mussa Deonatus ni Mtaalamu wa Bustani kutokea chuo cha SUA, ambapo ameelezea jinsi anavyotengeneza udongo kwa kutumia Minyoo na mabaki ya chakula bila kutumia Kemikali zozote, huku akishauri watu watumie mfumo huo.