Leo May 20, 2019 Kuna hii kutoka Mkoani Arusha ambapo Mama Chausiku Seleman mkazi wa Arusha ni mama ambaye anadai ana ujauzito wa miaka 11 tumboni licha ya kuzaa Watoto kumi na nne lakini miongoni mwa chanzo anachokitaja kuhusika na ujauzito huo ni laana anayodai alipewa na Mjomba baada ya kushindwa kchemsha boga.
DR. MPOKI AAPISHWA KUWA BALOZI WA CANADA “SITOTOA SIRI, NITAHIFADHI NA KUILINDA”