Makamu wa Rais Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge amezungumza na AyoTV “Ninatambua miiko ya uongozi na sijawahi kukurupuka, chochote ninachokisema nasimamia haki na ukweli, najitambua na ninacho kifanya kwahiyo kwamba nina suala la utovu wa nidhamu nataka niwahakikishie watanzania kwamba nilichokuwa nasimamia ni misingi ya haki za binadamu na nisitafsiriwe kwamba ni mtovu wa nidhamu”.
AJABU: MAMA ADAI ANA UJAUZITO WA MIAKA 11 TUMBONI “MJOMBA ANA MDOMO WA LAANA”