Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) imezungumzia kesi kubwa zilizopo sasa nchini ambazo ni suala la ajira na mikataba kukatishwa, watu kufukuzwa kazi bila kupewa taarifa rasmi.
Mkurugenzi wa LHRC, Anna Henga amewaambia waandishi wa habari kuwa mbali na hayo tatizo jingine ni watu kudhurumiwa mashamba yao bila kupewa fidia.