Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka ameeleza kilio chake baada ya kurudi Jimboni na kukuta Diwani wake pamoja na wapiga kura wake wamefungwa na kuamua kutembelea Gerezani walipo.
Baada ya kuonana nao ameeleza hali aliyoikuta Gerezani na msimamo wake juu ya kucheleweshwa kwa mashtaka.
MISS ALIYETAJWA NA WAZIRI KIGWANGALA KUWA BALOZI WA UTALII AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA