Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Kamanda Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issa kuchunguza Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Siha baada ya kutokea kwa malalamiko pamoja na Kijana mmoja wa bodaboda aliyepakia mishikaki kupita mbele yake bila kuchukuliwa hatua.
MWENYEKITI AWEKA WAZI SABABU YA CCM KUSHINDWA CHAGUZI “WAGOMBEA HAWAPENDWI”