Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ametishia kuwatumbua Wakurugenzi waliopo kwenye Wizara yake endapo watashindwa kusimamia suala la maziwa nchini huku akitoa onyo kwa Makampuni yanayonunua maziwa kwa wananchi kuacha kununua kwa bei ya chini.
“MGOMBEA UNA MNADI MPAKA UNAPIGA PUSH UP, HATUTAKI UCHAGUZI WA KUTOA JASHO” MWENYEKITI UVCCM