Leo June 4, 2019 Nakusogezea maneno aliyoongea Mmiliki wa Shule ya Scholastica Edward Shayo aliyekuwa mshtakiwa wa pili katika shtaka la Mauaji ya Mwanafunzi Humphrey Makundi ambapo amesikika mara kadhaa akisema “Damu ya huyu mtoto haiko mikononi mwangu”.
Maneno hayo amekuwa akiyarejea mara kwa mara muda mfupi kabla ya kupelekwa Gerezani kwenda kutumikia kifungo cha miaka minne baada ya Mahakama kumtia hatiani kwa kosa la kushiriki jinai ya mauaji.
KAMANDA AMKAMATA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKIWA NA AK 47 “JAMBAZI SUGU NA HATARI”