Meya wa DSM Isaya Mwita ni moja waliondoka na Air Tanzania kutoka Tanzania kuelekea Afrika Kusini ikiwa ni trip ya kwanza ambapo Meya alizungumzia kile ATCL wanatakiwa kufanya ili kuboresha na kutopoteza wateja kwa Shirika hilo.