Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu anatuambia opareshini ya nyakua nyakua imefanikisha kupunguza ajali na makosa ya mwendo hatarishi barabarani yaliyokuwa yamekithiri nchini.
”Juzi kuamkia jana nchi nzima kulikuwa na ajali moja lakini kwa Saa 24 zilizopita tarehe 27 kuamkia tarehe 28 nchi nzima hakuna ajali, dereva yoyote atakayekamatwa na makosa ya mwendo hatarishi ni kukamata, kuweka ndani, kupeleka Mahakamani na tukimtoa Mahakamani tunafungia leseni” Kamanda Musilimu
“Nchi nzima kulikuwa na ajali moja tu” Kamanda Muslimu (+video)
Leave a comment
Leave a comment