Msemaji wa familia ya Mwanaseheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lsisu ambaye ni Alute Mughwai amesema waliandika barua kumi na moja katika Ofisi ya Bunge na kuhusu kujaza fomu ya mali zake Familia imesema alishindwa kufanya hivyo kwa kuwa alikuwa mgonjwa.
RAIS MAGUFULI ALIVYOTUA KWA MARA YA KWANZA AIRPORT MPYA CHATO