Miongoni mwa Teknolojia inayoitangaza vyema Tanzania ni ubadilishaji wa mfumo wa matumizi ya Gesi badala ya mafuta katika magari ambao unafanywa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (D.I.T) huku ikielezwa hadi sasa zaidi ya Magari 200 yakiwa yamewekewa mfumo huo.
BREAKING: AJALI IMEUA WATU SABA, WATANO WAFANYAKAZI WA AZAM