Utafiti wa madhara ya uharibifu wa takataka za plastiki kwenye Bahari ya Hindi umefanyika kuanzia September 2018 hadi sasa ambapo ukiwahusisha Madaktari wanne akiwemo Dr. Lydia Gasper na Dr.Vincensia Shule.
Katika utafiti huo ulilenga zaidi kupima madhara ya takataka za plastiki kwenye akanda wa baharı ya DSM na kutafuta njia za kurekebisha madhara hayo ambapo imebainika Plastiki ni kitu hatari kwa viumbe hai kwenye eneo la bahari hasa yenye watu wengi kama jiji la Dar es Salaam.
“Utafiti huu umefanyika katika maeneo kadhaa ya Pwani ya Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam ikiwemo eneo la Daraja la Selander mahali ambapo mto Msimbazi unaingia baharini”
HATARI: ‘SI BINADAMU WA KAWAIDA’ ANAKULA CHUPA NZIMA NA VIWEMBE KAMA MUA