Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amezindua ya tiba ya mionzi kwa wagonjwa wa saratani, upanuzi wa nyumba ya upasuaji na amekufungua huduma za tiba na mtambo wa kuzalisha Oxygen.
Katika zoezi hilo ametoa maagizo kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalim kufuatilia gharama na madai kwa wagonjwa wanao kwenda kutibiwa nje ya nchi na kama ikigundulika kuna udanganyifu hatua zichukuliwe kwa wahusika “Watu wanaripoti hospitali halafu wanakenda kulala Hotelini”
SHULE ILIYOONGOZA KIDATO CHA SITA, SKENDO YA BANGI, WIZI WA MITIHANI VYAZUNGUMZWA