“Wanadhani Magufuli soft, mwamba ule gusa unate na leo nataka niwaambieni kama Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Chama hiki chini ya Dr. John Magufuli ni imara, madhubuti kuliko zamani, kiko imara chama hakitingishwi na yeyote, kama walidhani wanaweza wamekwama kabla hawajaanza” Heri James Mwenyekiti wa UVCCM akiwa Mkoa wa Ruvuma katika ufunguzi wa Ruvuma ya Kijani
LIVE: MAGUFULI AKOSOA “MIFUKO YA PLASTIKI ALISHINDWA NIKALAZIMISHA”