Mkurugenzi wa Mashataka wa Kenya Noordin Haji akikabidhi dhahabu na fedha za Tanzania zilizokamatwa Kenya amenukuliwa Ikulu DSM akisema “Sitasema mengi; iliyopo hapa mbele yetu ni kilo 35.34 ya dhahabu na pia baada ya kumrejesha Patrick Ngowi mwezi Januari 2019 napenda kukabidhi Tsh. milioni 170, USD 76,500 na USD 1,000 kwa ajili ya ‘denomination’ na pia Ksh. Milioni 171 na 600”