Ni mara ngapi tumeona biashara zinazoendeshwa na familia zikifeli hata kufa? Watoto au Ndugu wanaweza kuchukulia poa na kujikuta wakifuja au kutumia vibaya fedha au mali za kampuni…. lakini wakati huohuo kuna baadhi ya Jamii au Familia zimeweza kumudu utamaduni wa kuhusisha Ndugu kwenye biashara za zikafanikiwa, leo nakukaribisha kuisikia hii ya kiwanda cha JAMBO FOOD Shinyanga….
MTAZAME DOREEN “WENGI HAWAAMINI NINA UKIMWI, BOYFRIEND WANGU NILIKAA NAE MIEZI MITATU TU” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
MTANZANIA ANAEFUGA MENDE “MMOJA NAMUUZA SHILINGI ELFU MOJA, SOKO NI KUBWA MPAKA NACHANGANYIKIWA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA