Mzee Hamis Kilomoni amechukuliwa na Polisi nyumbani kwake Kinondoni Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuongea na Waandishi wa habari, Kilomoni alipanga kuzungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na sababu zao kama wadhamini wa Simba SC kugoma kutoa hati za Simba kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa mabadiliko.
VIDEO: “Narudia tena Yanga na Simba Sio wenye CECAFA”-Musonye