Watu 14 akiweko Mzee mstaafu, Edward Maguri (80) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kuisababishia hasara Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya Mil. 100 baada ya kukwepa kulipia kodi ya Mikoba.
Katika kesi hiyo namba 67 ya mwaka 2019, washitakiwa wanadaiwa Februari 21, 2019 walisababisha hasara kwa TRA ya Milioni 100, 739, 873 baada ya kukwepa kulipia kodi Kontena lenye futi 40 lilokuwa na sheena ya Mikoba “Hangs Bag”.
Kesi imeahirishwa hadi August 8, 2019 washitakiwa wamerudi rumande, kesi yao haina dhamana hadi Mahakama Kuu.
‘TUMEKAMATA DAWA ZA KULEVYA KAMISHANA WA INTELIJENSIA