Baada ya tamko la Serikali juu ya matumizi ya magogo wakati wakukata nyama kusitishwa ifikapo tarehe 30 mwezi 9 2019, AyoTV imepita Mitaani Mkoani Kigoma kwa wauza nyama ambapo wametoa maoni yao kubwa ikiwa wanaiomba Serikali kuongeza muda pamoja na kupatiwa elimu ya kutosha kuhusiana na vifaa vya kisasa vya kukatia nyama.