Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo leo August 15 amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha mafuta ambacho kinalalamikiwa na wateja kuwa hakitoi risiti baada ya kutoa huduma ambapo ameagiza tuhuma hizo zifuatiliwe na ikibainika ni kweli kituo kifungwe mara moja.
“Nimepata malalamiko kituo cha hapa na kingine kipo Masaki hamtoi risiti sasa hiyo kutokutoa risiti ni kuibia Serikali”- DC Jokate Mwegelo