Said Kione Mkazi wa Iringa, amekamatwa na Wananchi wenye hasira kali katika eneo la Miyomboni karibu na Kwanzu Hotel Iringa, akituhumiwa kuiba maziwa Lita 40(Ndoo Mbili kubwa) na akapewa adhabu ya kunywa lita zote 40, unaambiwa amepambana na kufanikiwa kunywa Lita 35 kisha wakamuachia na kumuonya asirudie tena.