Leo August 22, 2019 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili Zungu Paulo na Baraka Lazaro , wote wakazi wa Kijiji na Kata ya Lupa wakiwa na nyara za Serikali vipande vitatu 3 vya meno ya Tembo bila kibali.