Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametatua mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na mmiliki wa eneo la hekari 16 lililotolewa kwa Serikal kwa ajili ya ujenzi wa Shule uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 katika Kijiji cha Iyombakuzoba Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora.