Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefanya ziara Mkoani Arusha katika miradi mikubwa ya maji ambayo itatumia Bilioni 520 ambapo ikikamilika itaondoa tatizo la maji katika Mkoa wa Arusha.
Akiwa katika ziara hiyo ametembelea miradi hiyo na pia alipita katika eneo la Majimoto Wilayani Hai ambalo huzalisha maji kwa kiwango kikubwa.
MWANAJESHI AGONGWA AFARIKI, WATU WANNE WAKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI