Umati wa watu umejitokeza nje ya Ubalozi wa Afrika Kusini Jijini DSM ukishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayoshikiliwa nchini Afrika kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.
#BREAKING: Umati wa watu umejitokeza nje ya Ubalozi wa Afrika Kusini Jijini DSM ukishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayoshikiliwa nhini Afrika kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/haESzHqmbH
— millardayo (@millardayo) August 28, 2019
Jeshi la Polisi limewatawanya Waandamanaji waliokusanyika Ubalozi wa Afrika Kusini Jijini DSM kushinikiza nchi hiyo kuiachia ndege ya ATCL inayoshikiliwa kwa amri ya Mahakama.#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/FzIfPEil0S
— millardayo (@millardayo) August 28, 2019