Kwenye bunge la katiba linaloendelea Dodoma (104.4 Clouds FM) mjadala mkubwa ulioibua mambo kadhaa ni kuhusu upigaji kura wa wazi au wa siri.
Miongoni mwa waliowasha vipaza sauti vyao na kuzungumza ni pamoja na Muheshimiwa Mwigulu Nchemba ambae baadae Makamu Mwenyekiti wa bunge hili la katiba alisikika akimwambia afute kauli yake iliyosema ‘Muheshimiwa Mbowe na Jusa wanataka kuleta ushoga’
Kama unapenda usipitwe na chochote kinachoifikia millardayo.com hakikisha unajiunga na familia kupitia twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo
Sikiliza sauti yenyewe kwa kubonyeza play hapa chini ambapo Muheshimiwa Lipumba ndio anaeanza kwa kuongea…