Baada ya mitandao mbalimbali ikwemo ya kijamii kuripoti kuwa shirikisho la soka Tanzania TFF limeshitakiwa kwa shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA kwa madai kuwa linadaiwa na aliyekuwa kocha wao mtuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emanuel Amunike.
Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao leo amekiri kuwa ni kweli wanadaiwa na Amunike lakini sio kama inayovirpotiwa kuwa TFF imepelekwa FIFA, kwa ajili ya FIFA kutilia mkazo na kocha huyo kupata stahidi zake, Kidao amesema ndio amepokea account namba za Amuke na watalipa deni lake
EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE