Mahakama Kuu imeamuru Wakili Fatma Karume asiendelee kuwa Wakili kwa muda kutokana na upande wa Serikali kulalamikia matamshi yaliyotolewa na Wakili huyo katika kesi iliyofunguliwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Ado shaibu dhidi ya Rais John Magufuli na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
MBUNGE BAWAZIRI AWAVAA WALIOMCHAGUA “ACHENI MANENO KWENU KULIWE NA KWANGU” ATOA MIFUKO 200 YA CEMENT