Kufuatia kampeni ya ‘Fukua fukua’ inayoendeshwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri baadhi wa Madiwani wamelitupa lawama kwa Jeshi la Polisi kwa kutoa siri za wananchi huku wahalifu wakijisalimisha.