Katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewataka wananchi kuepukana na vishawishi vya rushwa ili kuwachagua viongozi.
Hayo yamebainishwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig.Gen John Mbungo ambapo amesema wanaendelea kuimarisha mbinu za uchunguzi wa makosa ya rushwa katika uchaguzi ujao.
“Ni dhamira ya TAKUKURU kuona kwamba umakini wa kuchagua viongozi waadilifu, wazalendo na wasiojihusisha na vitendo vya rushwa,”
RC KIGOMA AKASIRISHWA ”TUNAMUONDOA MKANDARASI MAJI MAJI, HABARI KWISHA”