Kauli aliyoitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli juu ya wanaotuhumiwa kwa kesi za Uhujumu uchumi “Wapo watu wamekaa ndani kwa kesi za uhujumu uchumi, ninasikitika sana. Wapo ambao wanataka kuomba msamaha na wanakiri kurudisha fedha hizo. Kuanzia Jumatatu kama wapo watu wa namna hiyo na wapo tayari kutubu kuwa hawatarudia, mimi nashauri DPP watu hawa watoke”.
BREAKING: NDEGE YAANGUKA WATANZANIA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO