kutokea Kagera tunakukutanisha na baadhi ya Wazee wenye uzoefu na mila na desturi za Kihaya, Mzee Fergence Kapia na Prof. Anna Tibaijuka ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini na hapa wanaelezea taratibu na mila za Wahaya pindi unapotaka kuchumbia au kuoa Binti wa Kihaya “ni mila ambazo zimekaa Kifalmefalme zina itifaki nyingi, nia yake ni kuonesha kwamba wasichezee ndoa”
FAMILIA INALALA NA NYOKA 14 WAKALI WENYE MENO, MTOTO ANAWAOGESHA “BORA JOKA KULIKO MWANANGU”