Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameamuru magari ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama kwenda kubeba nyaraka za Serikali wakati wa zoezi la kuhamisha Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kutoka katikati ya Jiji la Mbeya kwenda mahali popote ndani ya mipaka ya Halmashauri hiyo.
TABU WANAYOPATA WAZEE, NDUGU ZAO KUWATUHUMU UCHAWI “WANATAKA MALI”